- Admin
Huduma za Fcs Trust

Je Asasi yenu ina mfadhili mwenye nia ya kuipatia ruzuku ila anakwama kwa sababu tu Asasi haina ujuzi wa kutosha kusimamia ruzuku? FCS TRUST LIMITED, tunatoa huduma ya kuzisaidia Asasi kama hizi kwa kusimamia ruzuku hizo.
Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa
Barua pepe: info@fcstrust.co.tz
Namba ya Simu: +255 222664890/2