Search
  • Admin

IJUE FCS TRUST LIMITED


FCS TRUST ni kampuni ya Kitanzania iliyoanzishwa na Foundation for Civil society kujikita kwenye utoaji wa huduma za ushauri nchini Tanzania. Tunatoa huduma mbalimbali kwa sekta ya maendeleo, kuanzia kubuni mpango mikakati, usimamizi wa ruzuku, uimarishaji wa mifumo, usimamizi wa fedha, tathmini ya uwezo na huduma nyingine za utaalamu-ushauri.

Tuna timu ya wataalam, zana na mbinu zinazoaminika na zilizodhibitishwa kuleta mafanikio na mabadiliko chanya kwenye Asasi, Shirika, Kampuni au Jumuiya .


Kwa mawasiliano:

Barua pepe: info@fcstrust.co.tz

simu: +255 222 664890/2 au + 255 754 005708

15 views0 comments